Saturday, 20 April 2019



           AFYA YA MOYO

Moyo ni kiungo muhimu mwilini maana ndicho husukuma damu. Magonjwa yasiyo ambukiza ( non communicable diseases) ikiwemo ugonjwa wa moyo ndiyo yanayo ongoza kusababisha vifo vingi duniani.
Asilimia 70% ya vifo vyote duniani husababishwa na magonjwa yasiyo ambukiza.


TABIA HATARISHI ZINAZO CHANGIA UGONJWA WA MOYO
1. Matumizi ya sigara
2. Cholesterol
3. Pressure kubwa ya damu
4. Kutofanya mazoezi
5. Msongo wa mawazo
Kwa sehemu kubwa, hutokea pale mishipa ya damu ( ateri ) inaposhindwa kusafirisha damu kwenda kwenye moyo au pale damu inapoganda kwenye mishipa hii.  Hii itapelekea moyo kushindwa kusambaza damu na oxygen ya kutosha mwilini.

JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
1. Mazoezi
2. Kuacha matumizi ya sigara
3. Kupata ushauri wakati wa msongo wa mawazo
4. Kuondoa cholesterol mbaya mwilini.

JINSI GANI UNAWEZA ONDOA CHOLESTEROL MWILINI.
Inabidi kupata omega 3 ambayo hupatikana kwenye samaki hawa:
  1. Cod
2. Calamari
3. Salmon
4. Anchovy

Omega 9 ( oleic acid) ndiyo huweza kuondoa mafuta mabaya mwilini na hivyo huboresha afya ya mishipa ya damu ili kua na mzunguko mzuri wa damu.

Kutokana na sababu kua si rahisi kula samaki kwa kiwango kinacho takiwa na pia kula aina hizo nne, ninashauri kutumia Forever Arctic sea ambayo inamchanganyiko wa aina zote 4 za samaki na pia kiwango cha kutosha

Matumizi ya forever Arctic sea
Inajumla ya vidonge 120
Vidonge 3 kila siku kwa mtu mzima

Licha ya hio, Forever actic sea pia inaboresha uwezo wa ubongo ( kufikiri na kuelewa kiurahisi) kwa mtoto.  Hasa pale mama mjamzito na anaye nyonyesha anapotumia.

Kwa mawasiliano zaidi
0756697404


Monday, 15 April 2019

JINSI YA KUEPUKANA NA SARATANI

1. Kuepuka matumizi ya sigara
       Hii itapunguza saratani ya mapafu, ini, na hata saratani ya damu

2. Kuepuka matumizi ya nyama nyekundu( red meats) hasa zilizo sindikwa kiwandani
    Hii ni kwasababu nyama nyekundu ina kemikali nyingi

3. Kuepuka kua na wapenzi wengi.
       Hii itapunguza uwezekano wa kupata saratani ya shingo ya mlango wa kizazi kwa wanawake na koo la chakula

4. Kupunguza unene ulio pitiliza


           AFYA YA MOYO Moyo ni kiungo muhimu mwilini maana ndicho husukuma damu. Magonjwa yasiyo ambukiza ( non communicable diseas...